Saturday, June 22, 2013

WEMA SEPETU, RADO NA SHIJA WAJA NA FILAMU MPYA(PHOTOS OF BEHIND OF THE SCENES OF THE FILM).

Baada ya miezi kadhaa sasa Wema Sepetu kutokuwa na filamu mpya sokoni,  kwasasa anakuja na filamu mpya inayoandaliwa na Simon Mwapagata(Rado) ambaye pia ni muigizaji katika filamu hiyo. Filamu hiyo inarekodiwa jijini Dar es salaam na pia scenes nyingine zitachukyuliwa jijini Tanga. Waigizaji wengine katika filamu hiyo ni pamoja na Sudi Ali na Deogratious Shija. Look at behind of the scenes of the movie...........

Images by bongomovies

No comments:

Post a Comment